+255 27 2548 191
Mn-Fr: 8am - 8pm, St-Sn: 8am - 4pm

About Us

Our Story

Arusha meat ni Kiwanda cha Nyama kilichopo jijini Arusha. Kilianza kujengwa rasmi mwaka 1987 chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Arusha kwa ushirikiano na serikali ya Austria

Starting a Farm

Kukamilika mnamo mwaka 1990.

The Best Milk in the State

Machinjio ilianza rasmi kutumika mwaka 1991 mwezi Mei

Store Opening

Kwa kipindi cha miaka mitatu yaani 1991 –1994 kampuni ilikuwa ikiendeshwa kwa majaribio mpaka mnamo tarehe 15 Septemba 1994 kampuni chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Arusha na serikali ya Austria 

Online Shop and Shipment

Ni matarajio ya Arusha meat kufungua Online Shop for Order and Meat Delivery service

read more

Place your Order Now!

Our Products are currently available. Welcome for Wonderful service
Store Locator