+255 734 026 766 arushameatcompany@yahoo.com

TANGAZO LA ZABUNI YA USAFI LA TAREHE 31/10/2024 .

Arusha Meat Co.Ltd kupitia kamati ya Manunuzi inakusudia kufanya mchakato kwa ajili ya kupata kampuni ya usafi.  Tangazo hili limetolewa Kuanzia tarehe 31/10/2024 hadi tarehe 20/11/2024, Kampuni zote za usafi zenye nia na uwezo wa kufanya kazi, pakua maelezo ya ZABUNI HII HAPA CHINI.

× How can I help you?